Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NDUGU ZANGU HIKI CHUMBA MASTER KIZURI
BEI TSH 120000 MALIPO MWEZI MOJA (1)
BAADA YA HAPO UTALIPWA MIEZI 3 NYUMBA KIPO KIMARA KOROGWE DK 8 KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MABASI YA MWENDOKASI CHUMBA KIPO NDANI YA FENCE AMBAYO GARI HALIINGII NDANI USALAMA UPO WAKUTOSHA
0710614924
0688653940