Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X6)KIMARA SUKA
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT_FOR_RENT_ATKIMARASUKA 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏛🏛🏛KALISANA IPOWAZI
KODI KWAMWEZI 200,000/=×6
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENCE PAKING KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK ULINZI WA KUTOSHA
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5👈 USAFIRI BAJAJI MASAA 24 NAULI 700 AU BODA BODA 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 UPO NDANI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT 4
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS 15,000
CONTACT US:
0716223412
0618976024