Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
#Inapangishwa KIMARA KOROGWE karibu sana na Kituo cha Mwendokasi
š Kodi Tsh 300,000/= *6
____
________
ā¢ Jiko
ā¢ Sebule
ā¢ Chumba Master
ā¢ Choo Cha wageni
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji Yanatoka Ndani
* Fensi
* Parking
#Umbali wa Kutembea dakika 6 tu kwa miguu hadi kituo cha mwendokasi
_________
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000