Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI ZIPO KIMARA STOPOVER UPANDE WAKUCHOTO KAMAUNAENDA MJINI BARABARA SAFI SANA
USAFIRI BODABODA/1000
KUTOKA KITUONI
KILOMITA 1๐ KODI NI 180,0000X6
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTA
SEBLE KUBWA JIKO KUBWA LAPEMBENI LAKWAKO
UMEME KILA NYUMBA
INAJITEGEMEA
MAJI INAJITEGE MEA
IPO WAZI NYUMBA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347