Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO
#CHOO CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI YA WAYA USALAMA WA KUTOSHA PARKING IPO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 10
#0625606710