Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15, UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule choo ndani Inajitegemea umeme maji mna shea
Hii nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri
Mwenye nyumba anapokea miezi sita tuu/=
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu
(150,000)
X 6
SIMU
0712656027