Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
IPO KIMARA STOP OVER
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIYO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA CHINI KABISA
#HAKUNA MASTER BEDROOM HAPA
BEI NI 400,000/=X 6
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 π
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 π
What saapp number β¬
οΈ 0689-547258