Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA KABISAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM 1.5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO (DSM) ๐น๐ฟ
USAFIRI UPO MWINGI WA BAJAJI TSH 700/=
NOHA TSH 700/= BODA BODA ELFU 1000/=
โกCHUMBA MASTER KIKUBWA
โกSEBLE KUBWA SANA MNO
โกJIKO KUBWA LA KISASA
โกMAJI YANA FLOW NDANI
โกUMEME LUKU YAKO MWENYEWE
โกNYUMBA IPO NDANI YA FENSI
โกPARKING SPACE IPO KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TSH 200,000/=X"4 "
WHATSAPP :0689-547258