Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA MPYA UKIHAMIA WEWE UNAKUWA MPANGAJI WAPILI KUISHI INAKUWA WAZI TAREHE 15/05/2023 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE KABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MITER YA MAJI
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TILES GYPSUM, ALUMINIUM SLIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0679447338
0753454167