Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
đź”° Inapangishwa KIMARA TEMBONI
đź“Ť Nyumba Inagusa Lami, Hukanyagi Tope
đź“Ť Kodi ni Tsh 200,000/= *6
===
______
• Chumba Master Kikubwa sana
Ă—Haina Jiko
Ă—Haina Sebule
* Heater ya Maji ya Moto
* Inajitegemea umeme
* Ndani ya fence
* Parking
* Garden
* Mazingira mazuri
#Umbali wa dakika 7 hadi kituoni
#Note: Kodi inaambatana na hela ya tahadhari Tsh 200,000/=,
________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 200,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
â„–:- 0753172516