Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KWA WALE AMBAO MNATAKA KARIBU NJONI HARAKA
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
(250,000x6
SIMU 0659336751 WSP 0786085637