Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150,000X6)KIMARA TEMBONI...BEBA HELA TUMALIZE CHAP!!!
HII NYUMBA KUBWA SANA INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
KODI NI 150.000X6
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
UMEME LUKU YAKO
NDANI YA FENSI YA WAYA
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI NI KM 1.2
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0716223412