Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 10
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 UKIPENDA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba master bedroom,sebule na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
๐ฐKODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/= (250,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
CALL 0625606710
CALL 0783794666