Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam




APATIMENTI KALI SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MWENDO KASI NI KM 3
BAJAJI 1000/
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
===
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA NA CHOO NDANI PABLIC
UMEME INAJITEGEMEA
NA MAJI DAWASA NANI
====
KODI. 150,000/=X4
DALALI 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/
===
ITAKUA WAZI TAREHE 28/9/2025
KUONA NA KULIPA NI LUKSA KABISA
0679 997610