Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT YA KISASA INAPANGISHWA(450K X 6)
KIMARA SUKA(Dsm
ITAKUWA WAZI 25/10/2025
Umbali: KWA MIGUU DK 7
MUUNDO
✔️ VYumba 02_ 01 Kimoja Master
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko Kubwa lenye makabati
✔️Choo Cha Public ndani
✔️Wapangaji #03
HUDUMA
✔️Maji (yapo Dawasa)MITA YAKO
✔️ Reserve Tank Lako
✔️LUKU YAKE
MAZINGIRA TULIVU SANA & NDANI YA FENSI ZIPO 3
KODI; 450,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 06 + Mwezi 1 wa dalali
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
SIMU 0659336751 WSP 0786085637