Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






๐ฅ OFFER YA CHUMBA MASTER SEBLE INAPANGISHWA โ KIMARA SUKA ๐ฅ
Hii nyumba iko tayari kwa mpangaji:
โ
chumba master seble
โ
Maji yanaflow
โ
aluminum window
โ
umeme upo
โ
Nyumba ipo ndani ya fens
๐ฐ Kodi: 130,000 tu kwa mwezi
๐ Malipo: miezi 4
๐ Mahali: Kimara Suka โ umbali wa km2.5 kutoka barabara kuu
๐ Wahi sasa: 0659244543