Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE IPO KIMARA TEMBONI
===
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
===
Kodi 350,000 Kwa mwezi ร 4
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu upande wa kushoto kama unaenda mbezi
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
0679447338
0753454167