Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(120,000 ร 4,5,6) KIMARA TEMBONI
*APARTMENT NZURI SANA*
*BADO MPYAA* ๐ฅ๐ฅ
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA*
๐๏ธ *APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO*
*โกCHUMBA MASTER*
โก *SEBULE SAFI*
โก *MAJI DAWASA YAPO KWA NJE*
โก *TILES/ GIPSUM*
โก *SLIDE WINDOW*
โก *LUKU WATATU
๐๏ธ *APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1000/=*
โ *NYUMBA HII HAIPO NDANI YA FENSI, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA,,*โ
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300