Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


111_
APARTMENT INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 2 bedrooms, 1 master
✓ Sitting room
✓ Jiko
✓ Public toilet
✓ Private luku
✓ Private water meter
✓ Maji yanaflow ndani
✓ Fence
✓ Parking space kubwa
KODI:
300,000/= Tsh kwa mwezi, malipo kwa miezi 6
LOCATION:
Kimara mwisho, Dar es salaam, kilomita 2 from morogoro road, ukishuka kwenye bajaji dakika 7 upo home
SERVICE CHARGE:
15,000/=Tsh kuoneshwa nyumba au kodi ya mwezi mmoja biashara ikifanyika
|| 0694 075 761
.
.
.