Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
💥Nyumba Mpya ya Kisasa, Inapangishwa, KIMARA KOROGWE
📍350,000/= *6
______
__
• Jiko Litafungwa makabati
• Sebule
• Chumba Master
• Choo cha public Ndani
* Wi-fi
* A/c
* Heater ya maji Moto
* CCTV Camera
* Inajitegemea UMEME
* Maji Ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
#Ipo umbali wa dakika 15 kwa miguu
#NOTE: Inakuwa tayari kuhamia tarehe 01/09/2024, kuona na kulipia ruksa,, wahiii hutajutia
______
#Malipo ya dalali Nasoni ni 350,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
№: 0753-172-516