Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(80,000 × 6) KIMARA SUKA
■■■■■■■■
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA
■■■■■■■■
Master kubwa sana na maji yanaflow chooni
■■■■■
Bei:80,000 Kwa mwezi × 6
■■■■■____■■■■=
UMBALI KUTOKA KITUON KM 3
BAJAJI 700 PIKPK 1500
■■■■■■
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
■■■■■■
#NB: Zingatia umbali vyumba vya bei nafuu vipo mbali ila nzuri na usafiri upo muda wote
Contact:
0654101710
0787205300