Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE 
KODI 200,000X6 
CHUMBA MASTER SEBULE 
CHOO CHA PUBLIC 
JIKO LINAWEKWA MAKABATI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCKS 
UMEME LUKU YAKO 
MAJI YANA FLOW NDANI 
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI BODA 1000
ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1/10/2025
KUONA NA KULIPIA LUKSA 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















