Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 500,000X6
LOCATION KIMARA BARUTI DK 5 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NB: FUNGUO ZINARUDISHWA LEO NYUMBA IPO WAZI KABISA WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347