Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
DATE OF ANNOUNCEMENT 20/03/2024
___________________________________
NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ZIPO KIMARA TEMBONI D'SLM
DK 5 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 3000,000/= KWA MWEZI
MALIPO NI KWA MIEZI MITATU
___________________________________
Contact 📲
__________________
0713027272 👈 WhatsApp
0715949085
0782838336
NOTE
_________
PESA YA TAHADHALI NI 300,000/=