Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 Γ 6) KIMARA MWISHO
HIZI APARTMENT ZIPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA OPERN KITCHEN
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 5 - 8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300