Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO KODI NI 220,000X6 π
VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI# HAKUNA MASTER BEDROOM
ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
KODI 220,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZIX4X6
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000
β¬οΈ
SIMU/06 59 33 67 51
β¬οΈ
WSP/07 86 08 56 37