Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT'S MPYAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM.1 TU KUTOKA LAMI USAFIRI UPO WA BODA BODA ELFU MOJA TUU.
CHUMBA KIKUBWA CHOO PUBLIC NDANI
SEBLE KUBWA SANA
NA KIBALAZA CHAKO
MAJI YANA FLOW
UMEME LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
KODI NI 180,000/=X"6"
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU.
SIMU
0712656027



















