Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(400,000X6)KIMARA KONA DAKIKA TATU (3) KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA YA JUU GOROFANI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
‼️ INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 400K X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
GARAMA ZA KUONESHWA NYUMBA HII NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA KONA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453