Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER NA SEHEMU YA JIKO INA PANGISHWA
LOCATION:KIMARA SUKA DAKIKA.10 TU KUTOKA LAMI USAFIRI UPO WA BODA BODA ELFU MOJA TUU.
CHUMBA KIKUBWA MASTER
SEHEMU YA JIKO
NA KIBALAZA CHAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE IPO KUBWAAA
KODI NI 80,000/=X"5"
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA
SERVICE CHARGE NI:150,00/=
CONTACT'S
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















