Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI
ZIPO APARTMENT 2 TU NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWEDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0655256419