Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







400,000x6. 0759151524
NYUMBA NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA BARUTI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL AC CAMERA ELECTRONIC FENCE
NYUMBA NI MASTER SEBULE NA JIKO
KODI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
NOTE:HULIPI MAJI NA USAFI INTERNET FREE PIA KUNA WASHING MACHINE
KUONA NYUMBA ELFU 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30.07.2025
0679 956 863
0759151524
0781 418 437