Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••

NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA.

HIZI APARTMENT ZIPO ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA

ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =

GHOROFA = KODI NI 500,000

ZA CHINI = KODI NI 400,000 /=

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI.

••••••••••••••••••••

NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI

ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI GHOROFA LAKI 500,000 NA ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=

••••••••••••••••••••

FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.

SINA CHENI BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE NA KUKUANDIKIA NA MKATABA.

Piga cm. 0764575774

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KM2 KUTOKA LAMI------Chumba master Seble kubwa Jik...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK4 KWA MIGUU KUTOKA LAMI . MKATABA UNA ANZA ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK1.5 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kimoja master b...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA SUKAKODI 300,000X6 VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMO...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6)KIMARA SUKA 1.8KM BAJAJI 700, BODA ______________VYUMBA VIWILIVYOTE MASTERSEBULEJIKOCHOO...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 580,000

IMEBAKIA MOJA TUU!!BEI NI 580,000/= X 6🌟SIFA ZAKE NI #VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MAS...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE CHUMBA SEBULE CHOO JIKO NYUMBA MPYA NDANI YA FENSI PARKING K...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KODI (500,000X6) APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location kimara Mwisho umbali dk 4 kwa mguumuundo#Viu...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK4 KWA MIGUU KUTOKA LAMI . MKATABA UNA ANZA ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

STAND~ALONE NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6🏠INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI HII...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 300,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

MPYAAA KABISA HII NI STAND ALONE KUBWA MAVYUMBA MAKUBWA INAPANGISHWA KODI 500,000X6 VYUMBA VIWILI VY...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI KALI SANA INA PANGISHWA KODI 200,000X6 NA HELA YA TAHADHALI 100,000/=NI CHUMBA MAST...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA NZURI KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA #BEI NI 450,000/= X 6#DEPOSIT 45...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT HII KALI SANA YA KISASA INA3PANGISHWA#KODI 500,000X6 LOCATION: #KIMARA_STOP_OVER 📌VYUMBA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO NNE INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUAT...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

MPYAAA KABISA HII NI STAND ALONE KUBWA MAVYUMBA MAKUBWA INAPANGISHWA KODI 500,000X6 VYUMBA VIWILI VY...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 300,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAF...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 300,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI...