Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 ร 6) KIMARA TEMBONI DAKIKA CHACHE KUTOKA KITUONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 300,000 ร 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
#0785889413
#0785889413