Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA KUBWA HII INA PANGISHWA
UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE AU KIMARA MWISHO
KODI 300,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA
INA KUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30/5/2025
ILA KUONA NA KULIPIA NI LUKSA KABISA NDANI UKIJA UNAONA
UMBALI NI KM 2
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
KUONA NYUMBA HII SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
CONTACT
0742260844
0657384670