Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10
KUTOKA STEND STOP OVER
USAFIRI UPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
______________________________________
SIFA YA NYUMBA
vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Sebule kubwa sana na dinning room kubwa
Nyumba hii ipo mazingira salama sana
MATUMIZI YAHIYO NYUMBA
umeme wakwako
Na maji yakwako
Piya maji yanatoka vizuri ndani
Jikoni na chooni
_________________________
KODI YAPANGO KWA MWEZI
Kodi kwa mwezi ni laki mbilli nanusu tuu
(250,000)
3
Miezi mitatuu
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087