Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
IMESHUKA BEI SASA NDUGU MTEJA WAHI CHAPU MPKA 200,000 IPO KIMARA MWISHO
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO SAFI
INA TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
KODI NI 200,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU NA HII MOJA NDIO IPO WAZI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2
USAFILI BAJAJI 700
BODABODA 1000
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37