Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 × 6) KIMARA MWISHO
HIZI NYUMBA ZIKO 4 KWENYE FENSI MOJA ZIKO MBALIMBALI MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#DINING
#PUBLIC TOILET
#PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA METER YA MAJI UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300