Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 500,000/= X 6
#VYUMBA 2 VIKUBWA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6
šļø LOCATION:- NI KIMARA TEMBONI UPANDE KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU (FEW METER'S FROM MAINE ROAD) NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
š„HAPA UKILIPIA KODI YA NYUMBA UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0719969102
0714903124