Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT
Hii ipo Kimara Temboni Dsm km 1 tu
Zipo 2 tu Ktk Compound 1
#Sebule
#Dinning
#Jiko
#Public toilet
#Room 3 za kulala 1 Master
Luku yake Maji dawasa 24 hrs
Swipe left for more pictures
Bei Laki 5 x 6
Maongezi kidogo nahisi
Cont : 0713 - 796690 / 0758 - 767071 au 0686 - 325 935
Note : Kuja kuona nyumba 15,000
Dalali kodi ya mwezi 1