Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA ๐ฏ%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA NA JIKO LAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ *KODI YAKE 170K X3//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI ELFU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#OPEN KITCHEN KUBWA SANA
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
โHII INAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 05/2024, KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA โ
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
๐ก๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA.
#0785889413
#0785889413
#0785889413