Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIYO NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ZIPO APARTMENT MBILI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
SEBULE WASTANI
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA
PUBLICK TOILET
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LOCATION KIMARA KOROGWE DARAJANI KARBU NA MWENDOKASI KILOMITA 1
USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI TAX DALADALA NAULI 500 UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI NJIA NI ZEGE MPAKA KWENYE NYUMBA
BEI NI 400,000 NAFAULISHA KUONA NA KULIPA RUKSA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453