Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150,000 Γ 4) KIMARA TEMBONI
NI MASTER na JIKO ZURI TU
π₯ *KODI YAKE 150,000 Γ 4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE'' na JIKO ZURI
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
π‘ποΈπΉπΏKARIBUNI SAANA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300