Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6) KIMARA STOPOVER 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODABODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
APARTMENT MPYAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE
ZITAKUWA TAYARI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1/12/2025
KUNA BEI MBILI TOFAUTI
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA HIZI
KODI 300,000X6
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
FENS INAPANDISHWA NA ZINAWEKWA PEVING BLOCK
ZIPO KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA PITA KIMARA MWISHO
UMBALI KM 1.5
BODA 1000 HADI NYUMBANI
PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE KUBWA JIKO
KODI 250,000X6
ILA KULIPIA LUKSA KABISA NJOO UCHAGUE NDUGU MTEJA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















