Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA
*BADO MPYAA* 🔥🔥
*INAPANGISHWA
*KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 120K X4
*ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA
🏘️ *APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
*⚡CHUMBA MASTER
⚡ *SEBURE SAFI*
⚡ *MAJI DAWASA YAPO KWA NJE*
⚡ *TILES/ GIPSUM
⚡ *SLIDE WINDOW*
⚡ *LUKU NA MITA YA MAJI SAFI DAWASA, SHARE W3*
🏘️ *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.*
*BAJAJI TSH 700
*BODA BODA TSH 1000
❌ *NYUMBA HII HAIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA,
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37