Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(280,000X6)KINARA MWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NEW NEW APARTMENT NI 4K KALI SANA VIMEBAKI VITU VICHACHE SANA KUHAMIA NI TAREHE 01/07/2024 MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#PUBLICK TOILET NDANI
#JIKO LINAWEKWA MAKABATI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW BUSTANI SAFI MAZINGIRA MAZURI NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI/TAX/ (500) BODA 1000 MPAKA GETINI UKISHUKA NA BAJAJI DK 3 UPO GETINI
#BEI NI 280,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453