Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


# STAND ALONE NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA. Inajitegemea kila kitu na parking ipo. Ina vyumba vitatu. Sebure. Jiko na Choo cha public cha ndani. Maji yanaflow ndani. Ipo kimara bucha umbali wa dakika 3 tu kwa mguu. Kodi ni laki 4 × 6.
# Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087