Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HAYA ISHI KWA MALENGO HAPA AKUNA USWAHILI MWENY NYUMBA MSELA MZUNGU ...
CHUMBA MASTER KUBWA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
UMBALI WA DK 15 TUU KWA MGUU
PIKPK 1000 MLANGONI
BAJAJ 700 MLANGONI
UMEME WA 2 TUUU
MAJI SHEA WATU 4
WAPANGAJI WAPO WA NNE HAPA (4)
MADILISHA MAWILI YA WAVU UPEPO UPO
FENSI IPO ILA SIYO YA KULAZA GARI
MTAA MZURI NJE HUDUMA ZOTE ZIPO ZA KIJAMIII
WASELA TUU HAPA UTAENJOY KAM MWENYE NYUMBA WAHI
BEI NI ELFU 95,000 ILIPWE MIEZI 6
*ANGALIZO:KUNA MPANGAJI ANATAKIWA KURUDISHIWA MIEZI 6*
#0785889413
#0785889413
#0754589413