Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 300k #MPYAAAA
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kutembea kwa Mguu Dakika 5 - 7 kutoka Stand Kituoni
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Chumba kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Sana Ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258