Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HII YA KUWAHI TENA KIMBIA SANA USICHELEWE
INA PANGISHWA IPO KIMARA STOP OVER BARABARA YAZEGE UMBALI TOKA MOROGORO ROAD DAKIKA 2 UKISHUKA KWENYE MWENDO KASI
💰KODI NI 180,000 MALIPOX3
INA VYUMBA V2 VYA KULALA HAKUNA MASTER INA SEBULE CHOO CHA KWAKO MWENYEWE CHA NNJE NA BARAZA KUBWA LA KUPIKIA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PAKING SAFI KABISA UMEMEWAKE MAJI YA DAWASCO MASAA 24👈
NYUMBA INA TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA🔥
KWA HUDUMA YA HARAKA PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
#0625606710