Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT NI ZA KUINGIA TAR 15/03/2024 KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
PUNGUZO LA BEI LIPO NDG MTEJA WANGU UKIJA KUIONA NA UKAIPENDA
HIZI APARTMENT ZIPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJAN 
UMBALI WA KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 BODA 1000
SIFA ZAKE 
#########
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI CHOO NDANI PUBLIC 
ZIPO APATIMENTI 4 KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI  GARDEN NZURI 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0652 508128 
0753 989554 
====




















